WELCOME

Translate

Monday, July 20, 2015

mohammed suleiman akikabidhi fedha za kuchukulia fomu ya ubunge


Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Ubunge wa Jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.

No comments:

Post a Comment