
Mkurugenzi
Uzalishaji Maji wa Mamlaka ya Maji Zanzibar {ZAWA } Mhandisi Moh’d
Elyas aliyenyanyua mkono akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif kazi zilizobakia katika kukamilisha Miundombinu ya
ujenzi wa kisima cha Maji safi katika Kijiji cha Kinduni Wilaya ya
Kaskazini “B”.
No comments:
Post a Comment