KARIBU KWENYE BLOG KWA MATANGAZO MBALIMBALI KWA BEI NAFUU
WELCOME
Translate
Thursday, January 9, 2020
KESHO KUTAKUWA NA HALI YA KUPATWA MWEZI
TANZANIA KUSHUHUDIA KUPATWA KWA MWEZI KWA SAA NNE
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetangaza kuwepo kwa tukio la kupatwa kwa mwezi litakaloonekana sehemu yote ya anga la Tanzania kesho Januari 10, kuanzia saa 2:07 usiku hadi saa 6:17 usiku.
Tukio hilo la kisayansi hutokea pale dunia inapopita katikati ya jua na mwezi na kusababisha kivuli katika uso wa mwezi.
No comments:
Post a Comment